Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
Moja ya stori ambayo imeandikwa kwenye magazeti ya leo ni hii ya kwenye gazeti la Mwananchi yenye kichwa cha Habari ‘Asilimia 60 wanaougua saratani wanatoka Mwanza’
#MWANANCHI 60% wanaougua Saratani wanatoka Mwanza, kichocho, uchimbaji wa madini na kilimo vyatajwa kuwa chanzo pic.twitter.com/YhqTsqUeIH
— millardayo (@millardayo) September 2, 2016
Gazeti hilo la Mwananchi limeripoti kuwa asilimia 60 ya watanzania wanaougua ugonjwa wa saratani nchini wanatoka mikoa ya kanda ya ziwa hasa katika mikoa Mkoa wa Mwanza. Hayo yalibainishwa na daktari wa magonjwa ya saratani wa hospitali ya Sekou Toure, Nestory Masalu wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Alitaja sababu zinazochangia ugonjwa huo kuwa ni uwapo wa ziwa Victoria ambalo husababisha watu wengi kuugua kichocho, uchimbaji wa madini na shughuli za kilimo. Hata hivyo alisema wataalamu wa afya wanashindwa kukabiliana na tatizo hilo kutokana na ukosefu wa vifaa tiba kama RMI na st Scanza za kumpima mgonjwa kabla ya kumtibu
>>>’kipimo kimoja hugharimu 300,000 kwa mtu mmoja, hai hiyo husababisha wagonjwa kupewa rufaa kwenda hospitali ya Ocean Road jijini Dar es salaam’;-Nestory Masalu
Mkurugenzi wa Hospitali hiyo, Kien Mteta alisema wanaupungufu wa vifaa hivyo na kuna vifaa vya kupimia saratani walivyopatiwa msaada tangu mwaka jana, lakini wamesema wamekosa fedha kwa ajili ya kuvifunga.
Dk Mteta alisema vifaa hivyo viligharimu umla ya bilioni 6…..>>>’kufunga mashine moja zinahitajika bilioni 1 na hapa kwetu tunatakiwa kufunga mashine mbili ili ziweze kusaidia kupunguza wagonjwa wanaopewa rufaa kwenda Dar es salaam’
Source; Mwananchi
#NIPASHE NSSF kwa kushirikiana na PPF kujenga kiwanda cha sukari Morogoro kitakachozalisha tani 200,000 kwa mwaka pic.twitter.com/Nqj7bFS3BK
— millardayo (@millardayo) September 2, 2016
#NIPASHE Rais Magufuli ataka walioficha mamilioni ya fedha kuzitoa vinginevyo atachapisha noti mpya ndani ya siku 2 pic.twitter.com/TNBOlnUhjD

#NIPASHE Kamati ya hesabu za Serikali 'PAC' imebaini ufisadi wa bil 100.5 ambao unahusisha hazina na TAMISEMI pic.twitter.com/0EovpXjuZK
— millardayo (@millardayo) September 2, 2016
#NIPASHE Rais Magufuli amesema ndege ya kwanza kati ya nne zilizonunuliwa ili kufufua shirika la ATCL itatua Sept 19 pic.twitter.com/V2HIOcoS1p
— millardayo (@millardayo) September 2, 2016
#MWANANCHI Kamati ya bunge yabaini kuwa Bil 83 zilizopelekwa TAMISEMI bajeti ya mwaka 2014/15 hazijulikani zilipo pic.twitter.com/yuSJWGqqGw
— millardayo (@millardayo) September 2, 2016
#MWANANCHI Twaweza imebaini kuwa walimu watatu kati ya 10, sawa na 31% wa shule za msingi ni watoro kazini pic.twitter.com/nBYvomyHCC
— millardayo (@millardayo) September 2, 2016
#MWANANCHI CHADEMA kutohamia Dodoma, chasema hayo ni masuala ya kisiasa yasiyo na msingi kiuhalisia pic.twitter.com/ud9oFmt8D0
— millardayo (@millardayo) September 2, 2016
#MWANANCHI Wataalamu watahadharisha juu ya uwezekano wa kupata maambukizi ya kifafa kwa walaji wa nyama ya nguruwe pic.twitter.com/eNhG0sDXn9
— millardayo (@millardayo) September 2, 2016
#HabariLEO Rais Magufuli asema watu wanaolalamika kwamba fedha hazionekani mitaani ni watu waliozoea 'kupiga dili' pic.twitter.com/ii0vxuTdna
— millardayo (@millardayo) September 2, 2016
#HabariLEO Waziri Mwinyi asema wanajeshi 6,000 kurudi kambini mwaka huu baada ya nyumba zao kukamilika pic.twitter.com/TB0nkB5Pze
— millardayo (@millardayo) September 2, 2016
ULIKOSA HIKI ALICHOONGEA RAIS MAGUFULI BAADA YA KUKUTANA NA LOWASSA UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI