Inadaiwa Watanzania wanaoishi katika eneo la Richard Bay kwa Zulu Natal nchi South Africa kwamba hali si shwari kunadaiwa kuwa na mauaji dhidi ya wageni yani wahamiaji kutoka Tanzania, Congo, Burundi, Nigeria na wengine.
Omar Salim ni mgeni ambaye anaishi katika eneo hilo anasema wapo ndani tu hawawezi kutoka nje.