Moja ya kauli za mwanzomwanzo za Kangi Lugola baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa mambo ya ndani kuchukua nafasi ya Dr. Mwigulu Nchemba.
Kangi amemuagiza Mkuu wa Polisi TZ kumuandalia taarifa itakayompa muongozo juu ya kushughulika na suala la Lugumi.
Waziri huyu ametoa hii kauli akiwa Mbeya ambako ameanza ziara ya kutekeleza agizo la JPM kuhusu tatizo la ajali ambalo limeua watu zaidi ya 40 hivi karibuni.
Baada ya vuta nikuvute, Muna Love amemtaja baba wa mtoto