January 30, 2019 Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Kangi Lugola wakati akijibu swali la Mbunge wa Mufindi kusini Mendrad Kigola amesema kuwa Serikali imeshawabaini baadhi ya watuhumiwa wa mauaji ya watoto yaliyotokea Mkoani Njombe.
“Nikweli kumekuwa na taharuki katika Mkoa wa Njombe kufuatia baadhi ya Watanzania wenzetu kuwachukua Watoto wadogo na kuwaua, nitoe onyo kwa Watanzania wote kwamba wasitingishe kiberiti cha Serikali ya Magufuli na wasipoacha watakipata cha mtemakuni”-Kangi Lugola
PABLO ESCOBAR: MFALME WA COCAINE, MTU HATARI, MAUAJI WATU 70,000