Leo February 19, 2018 Mbunge wa Jimbo la Kibamba na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA -Bara John Mnyika akiwa ameongozana na Afisa Habari wa CHADEMA Tumaini Makene amefika kwenye msiba wa Mwanafunzi aliyepigwa risasi akiwa kwenye daladala wakati Polisi wakitawanya waandamanaji wa CHADEMA.
Nimekuwekea PICHA 10 shuka chini kuzitazama
UTEUZI ULIOFANYWA NA RAIS MAGUFULI LEO FEBRUARY 19,