Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro ametembelea Bariadi mkoani Simiyu kwa ziara ya kikazi kwa lengo la kuzungumza na wajumbe wa Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo.
Katika ziara hiyo IGP Sirro amekagua baadhi ya vielelezo katika kituo Kikuu cha Polisi katika wilaya ya Bunda.
IGP Sirro amezungumza na maofisa na askari mkoani humo na kuwataka askari kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia maadili ya kazi pamoja na kutenda haki kwa wananchi wanaowahudumia.
Polisi waongea kuhusu Maandamano yanayozungumzwa mitandaoni
FULL VIDEO: Sugu na Masonga wakipelekwa Gerezani