Baada ya vuguvugu la muda mrefu hatimaye leo April, 11, 2019 Rais wa Sudan Omar al-Bashir ameachia ngazi na makubaliano juu ya kuundwa kwa serikali mpya yanafanyika.
Baadhi ya viongozi wa juu wa Serikali akiwemo Waziri wa zamani wa Ulinzi na Kiongozi wa juu wa Chama tawala wanashikiliwa na Jeshi.
BINTI ANATESEKA KWA MIAKA 19 ULEMAVU, HATOSAHAU ALIVYOPIGWA NA BABA, MAMA YAKE ANA UVIMBE
LIVE: WAZIRI MKUU AKIHUTUBIA KWENYE KONGAMANO LA MWL. NYERERE