Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ameagiza kuondolewa kwa Askari Magereza watatu katika Kituo cha Mang’ola pamoja na Mkuu wa Polisi wa kituo kwa madai ya kuwatishia wananchi pamoja na kuwapiga.
Kijana amsimulia mwanzo mwisho Lugola alivyopigwa siku 14 kituoni hadi mguu kuoza