Yiwu Night Market ni sehemu maarufu kwenye Mji wa Yiwu China eneo ambalo Wachina wengi hulitumia wakati wa usiku kama sehemu ya kupata vyakula vyao vya asili baada ya shughuli zao za kila siku, soko hilo hufunguliwa kuanzia saa 12 jioni hadi ya saa 10 alfajiri, AyoTV na millardayo.com imepita eneo hilo na hii ni ripoti yake.
MKE WA BONGO ZOZO AFUNGUKA MAZITO “TUMEACHANA ILA TUNAISHI PAMOJA, HATA AKIWA NA SUZY”
https://youtu.be/uJieVZ7VKaY