Aliyekuwa Mkurugenzi wa klabu ya Simba, Senzo Mbatha anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwenye kituo cha Oysterbay, Dar es salaam.
Inaelezwa sababu ya Senzo kushikiliwa na polisi ni kuhusiana na tuhuma za mawasiliano yake na Hashim Mbaga yanayodhaniwa yalilenga kuihujumu Simba (kupanga matokeo) kwenye michezo kadhaa.
Hivi karibuni Hashim Mbaga (aliyekuwa Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki-Simba) alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuihujumu Simba.
Via: DailyNews Digita
GOOD NEWS KUTOKA BODI YA MIKOPO “BILIONI 150 KWA WANAOANZA VYUO, MAJINA WANAFUNZI YAPO TAYARI”