Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Waliojenga ndani ya hifadhi ya barabara ya Morogoro watakiwa kubomoa kabla ya bomoabomoa kuanza Nov 24 pic.twitter.com/R7idIURs20
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#MWANANCHI Waliojenga ndani ya hifadhi ya barabara ya Morogoro watakiwa kubomoa kabla ya bomoabomoa kuanza Nov 24 pic.twitter.com/R7idIURs20
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#MWANANCHI UKAWA wasusa mechi ya wabunge na viongozi wa kamati ya dini Dar kwa madai kuwa kuna ajenda ya siri pic.twitter.com/nmVQLbUqMs
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#MWANANCHI Bweni la shule ya sekondari Mwanzi Manyoni limeteketea kwa moto na kusababisha hasara ya zaidi mil 50 pic.twitter.com/pxhvx2ZDJo
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#NIPASHE Bwana harusi amkimbia mkewe ukumbini kwa hofu ya tetemeko, baadhi walidhani vifaru vinakwenda vitani pic.twitter.com/XeRP3AMaIv
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#NIPASHE Tahadhari yatolewa kutokea kwa matetemeko madogo Kagera yatakayokuwa yakitokea kwa mwezi mmoja zaidi pic.twitter.com/4ZNn5wD1gd
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#MTANZANIA Madini ya folic acid ambayo humkinga mtoto asipate tatizo la kichwa kikubwa kuwekwa kwenye unga wa ngano pic.twitter.com/jidwdM26hX
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#MTANZANIA Wagonjwa wa typhoid wilayani Mafia wanalazimika kusafiri kwa ndege hadi Dar kufuata tiba ya ugonjwa huo pic.twitter.com/LeHxXlQAk9
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#MAJIRA Wakurugenzi walioteuliwa Sept 10 watakiwa kuwasilisha nakala halisi za vyeti vyao vya taaluma kabla ya kuapa pic.twitter.com/jgo8tEokCh
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#HabariLEO Polisi Uganda inawashikilia watu watatu wanaotuhumiwa kuiba ng'ombe kutoka kwenye shamba la Rais Museveni pic.twitter.com/5yOVnKgdKH
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#UHURU Serikali yawabana baadhi ya vigogo walionunua mali za chama kikuu cha ushirika Nyanza kinyume na utaratibu pic.twitter.com/2OAvKGmUSq
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#TanzaniaDAIMA Jamhuri kujibu hoja za utetezi za kutaka washtakiwa wa kesi ya dadake Msuya wafutiwe makosa yao pic.twitter.com/XUU3GGVnWv
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#MWANANCHI Trilioni 2.3 zinahitajika ili kupima, kupanga na kumilikisha ardhi kwa wanavijiji nchini. pic.twitter.com/lSZHaUabFW
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#MWANANCHI UNESCO imesema watu wazima wapatao milioni 758 duniani kote hawakujifunza kusoma na kuandika pic.twitter.com/ODe2mjNq9z
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
#JamboLEO Wataalamu wamesema kupatwa kwa jua kunaongeza nguvu ya kuzalisha tetemeko hasa likiwa linakaribia kutokea pic.twitter.com/hYHyIasD6T
— millardayo (@millardayo) September 12, 2016
ULIKOSA HII YA FAMILIA ZILIVYOLALA NJE BUKOBA SEPT 11 KUHOFIA TETEMEKO LA ARDHI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI