Waziri Simbachawene akizungumza na Waandishi wa Habari, Dodoma, leo March 13, 2020 amesema Serikali imevunja mkataba na Kampuni ya Rom Solutions ya Nchini Romania ambao ulihusu ununuzi wa vifaa vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa gharama ya Euro 408,416,288.16, sawa na Shilingi Trilioni moja.