Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Anthony Mavunde amewataka waajiri wote wanaoleta wafanyakazi wa Kigeni kuhakikisha wanasimamia na kutekeleza mpango wa urithishaji ujuzi kwa Wafanyakazi wazawa kama inavyolekezwa na Sheria ya Uratibu ya Ajira kwa Wageni Na. 1 ya Mwaka 2015.
JANUARY MAKAMBA AFICHUA ALIVYOPIGIWA SIMU RAIS MAGUFULI “MLIIPATA TUIMALIZE SHIDA YAO”