Leo May 3, 2018 tunayo story kuhusu Shirika la Majisafi na Majitaka DSM (DAWASCO), ambapo limesema linatarajia kuokoa takribani Shilingi Milioni 200 kila mwezi, kufuatia kuanza kutumia mfumo mpya wa Kielektroniki wa Malipo wa Serikalini (GePG).
Hayo yamebainishwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa DAWASCO, Mhandisi Cyprian Luhemeja ambapo amesema utaratibu huo unaanza leo May 3, 2018.
SEKUNDE 53: Alivyozitumia Mbunge Msigwa alipokutana uso kwa uso na JPM