Stori ya aina yake ilitoka Tanzania December 09 2015, sherehe ya uhuru ikaadhimishwa kwa kufanywa usafi kila kona.. lilikuwa agizo la Rais Magufuli na yeye pamoja na viongozi wote wa juu wa Serikali walishiriki kwa 100% kuhakikisha agizo linatekelezwa.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akajiongeza hatua moja mbele, akasema usafi ni kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi… Ninayo stori kuhusu kinachoendelea Songea >>> “Tumeanza zoezi la kukamata watu, tayari tumewakamata watu 12 ambao hawataki kufanya biashara kwenye maeneo tuliyoelekeza, na kakamatwa mtu mmoja kwa kosa la kutupa uchafu… wote waliokamatwa wamelipa faini.” >>>- Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Songea, Raphael Kimari.
Faini ya Songea ukisumbua kwenye usafi wao ni 50,000/=…
Kama ulipitwa na picha za usafi wa Songea Jumamosi ya December 26 2015 unaweza kubonyeza neno ‘SONGEA’ hapa >>> SONGEA
Sauti yenye stori kutoka Songea hii hapa mtu wangu.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE