Ni kati ya wale mastaa wa bongo ambao huwa hawapotei kwenye muziki, wapo miaka na miaka na kadri time inavyosogea ndio wanazidi kubadilika inavyotakiwa na kufanya kazi zenye ubora.
Sifa nyingine kubwa ya Shaa ni kazi kubwa ambayo huwa anaifanya akiwa kwenye stage.
Unataka kuwa karibu nikusogezee kila ninachokipata? ungana na mimi kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Instagram Facebook