Shahidi wa pili katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na uporaji wa fedha zaidi ya shilingi 3,159,000 inayomkabili Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya [34] na wenzake wawili Norman Jasin{17} ameieleza mahakama kuwa Sabaya alimwonesha Bastola Diwani wa Kata ya Sombetini ,Bakari Msangi na kumwambia aache kiherehere cha kuwasaidia magaidi.
SHAHIDI WA KWANZA KESI YA SABAYA AELEZA ALIVYOKIMBILIA PORINI NA KUHAMISHIA FAMILIA NAIROBI