Mahakama ya hakimu mkazi Arusha Agosti 3, 2021 imeondoa pingamizi la upande wa Jamhuri lililowasilishwa Mahakamani hapo kupinga upande wa utetezi kumhoji Shahidi kwa kutumia maelezo aliyoyatoa Polisi katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili Shahidi huyo amedai kwamba aligombana na Askari aliyekuwa akimuandika maelezo baada yakutaka kumpa Shilingi Milioni mbili ili amalize Kesi.
SABAYA AACHIWA NA WENZAKE KWENYE KESI YA UNYANG’ANYI, ASOMEWA MASHTAKA UPYA
SHAHIDI WA KWANZA KESI YA SABAYA AELEZA ALIVYOKIMBILIA PORINI NA KUHAMISHIA FAMILIA NAIROBI
MAHAKAMA YAKATAA MAELEZO YA SHAHIDI KWENYE KESI YA SABAYA “HAYAKUFUATA UTARATIBU”