Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Alhad Mussa Salum amekutana na Sheikh Mohamed Iddi Mohamed leo Dar Es Salaam na kueleza kuwa wamemaliza tofauti zao walizokuwa nazo kwa siku kadhaa zilizopita.
“Siku mbili tatu zilizopita Mimi na Sheikh Alhad Salum hali ya hewa akiwa nzuri, tunautangazia UMMA kuwa yaliyopita baina yangu na Sheikh Alhad yamefutika hayapo” -Sheikh Mohammed Iddi