Leo September 19, 2019 Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limesema litawashughulikia wote waliotaka kuiba wakati moto ukiteketeza jengo la Shule ya Sekondari Old Tanga.
Akiongea na Waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Tanga Bukombe amesema wote waliowakamata watawapeleka kwenye Vyombo vya Sheria.