Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Mabweni mawili ya shule ya sekondari Ambassador Dar yameteketea kwa moto na kusababisha hasara ya bil 1.5 pic.twitter.com/FJS4qA71Gn
— millardayo (@millardayo) September 13, 2016
#MWANANCHI Serikali kuchapisha vitambulisho vipya vyenye saini, baada ya vilivyopo kuondolewa kwenye matumizi pic.twitter.com/rVwy8TMOgt
— millardayo (@millardayo) September 13, 2016
#MWANANCHI Bomba la mafuta latumika kutapeli, vijana wasajiliwa kwa ahadi ya kupatiwa ajira kwenye mradi huo pic.twitter.com/czfcBIPHtP
— millardayo (@millardayo) September 13, 2016
#MWANANCHI Mtoto wa miaka minne Geita afariki baada ya kula sumu, inadaiwa ilimwagika eneo walilokuwa wakicheza pic.twitter.com/IZhDnO5jAH
— millardayo (@millardayo) September 13, 2016
#MTANZANIA Vituo vitatu vya kupima matetemeko vimefungwa baada ya kuhujumiwa, vingine vidogo 38 wafadhili walijitoa pic.twitter.com/KULfcQ0Tgi
— millardayo (@millardayo) September 13, 2016
#MTANZANIA Rais Kenyatta kutoa msaada wa mabati, mablankenti na magodoro kwa waathirika wa tetemeko Bukoba pic.twitter.com/EklM40RWJf
— millardayo (@millardayo) September 13, 2016
#MTANZANIA Jumuiya ya vyuo vikuu ya CUF UDSM wamemtaka Prof. Lipumba kuacha kuchochea mgogoro ndani ya chama hicho pic.twitter.com/yQIafGbdwn
— millardayo (@millardayo) September 13, 2016
#MTANZANIA CWT imesema madai ya walimu yasiyokuwa ya mishahara ambayo hadi sasa bado hayajalipwa ni zaidi ya bil 10 pic.twitter.com/MaVL9T6il8
— millardayo (@millardayo) September 13, 2016
#HabariLEO Wakala wa jiolojia Tanzania wamesema kitovu cha tetemeko Kagera kiko chini ya ardhi urefu wa kilometa 10 pic.twitter.com/oCmJ838zQf
— millardayo (@millardayo) September 13, 2016
#HabariLEO Kampuni 35,000 kufutwa na wahusika kufikishwa mahakamani kwa kutofuata sheria za uendeshaji biashara pic.twitter.com/UyQjrtSOwF
— millardayo (@millardayo) September 13, 2016
#UHURU Wakala wa Jiolojia umesema kuna uwezekano wa tetemeko la ardhi kujirudia hata baada ya miezi minne pic.twitter.com/kh369D4aRj
— millardayo (@millardayo) September 13, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV SEPTEMBER 13 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI