Ayo TV inakuletea habari zote kubwa za magazeti ya Tanzania kila siku asubuhi, ungana na Alice Tupa kila siku, leo December 3 2016, kati ya habari kubwa zilizosomwa kwenye magazeti asubuhi ya leo ni pamoja na Sakata la dangote lafichua siri nzito pia Ahadi mawaziri zageuka shubiri
VIDEO: Watoto wa mbunge Lema washuhudia baba akirudishwa Rumande
VIDEO: Eneo lingine ambalo limegundulika gesi nchini Tanzania