Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawsiliano kwa Umma ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam kwa Kushirikiana na Jumuiya ya Wanazuoni wa Mawasiliano kwa nchi za Afrika Mashariki wametangaza kufanyika kwa kongamano la 14 la Jumuiya ya Wanazuoni wa Mawasiliano Afrika Mashariki.
Inaelezwa kwamba kongamano hilo linatarajiwa kufanyika Agosti 28 hadi Agosti 30, 2024 jijini Dar es Salaam.
Amidi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Dkt. Mona Mwakalinga amesema anaalika wafadhili kuunga mkono tukio hilo lenye umuhimu mkubwa katika kukuza ubora wakitaaluma na maendeleo ya kitaaluma kwenye
mawasiliano na vyombo vya habari.