“Mkuu wa mkoa hajanituhumu mimi alisema tabia hizo na amesema na yeye ametia watu ndani na watu wa bwawa la Nyumba la Mungu wanaovua wakicheza watatiwa ndani wote nje ya wilaya ya Hai” Sabaya
“Mnachokiona hapo hapo nilipovua miwani ukiangalia hiyo video mbele Mkuu wa mkoa amenipongeza kwa kuifanya wilaya kuwa ya Sita Kitaifa na kuongeza mapato” Sabaya
“Kitendo cha kuvua miwani watu ndio wamechagua kutaka kusema ni tafsiri ya dharau. Mkuu wa mkoa ni Kiongozi wangu ananiambia na wewe Mkuu wa wilaya kutia watu ndani hata yeye katia watu ndani lakini katika nyakati hizi naweza kutumia busara” Sabaya
“Hii ni video ya mwaka 2018 kwanini isambae sasa? kwa sababu kuna watu Maalum wamepewa kazi ya kutimiza lengo lao maalum” Mkuu wa wilaya ya Hai
Via: Clouds360