Mkuu wa Mkoa Kagera Meja Jeneral Charles Mbuge akiwa na viongozi mbalimbali wamewapokea wavuvi 8 kati ya tisa ambao inadaiwa walitelekezwa ziwani kwa siku 15 na Afisa uvuvi mfawidhi wa kikosi cha doria Mkoa wa Kagera Yohana Milunde ambaye anatuhumiwa kuhusika na zoezi la kuwatelekeza huku akiwanyang’anya baadhi ya vifaa vyao.
MUROTO AFUNGUKA SABABU ZA KUTUMIA MISEMO YA KIPIGO CHA MBWA KOKO NA WATAPATA TABU SANA