Ayo TV na Millardayo.com Inakukutanisha na Yohanna Parmelo ambae ni Dereva Taxi na Shughuli zake anazifanyia Zanzibar Mji Mkongwe ,amekaa na Ayo TV Kutusimulia Safari yake ya kuwa mlinzi hadi kumiliki Taxi yake akifanya Kazi ya kubeba Watali wa Mataifa mbali mbali na Watanzania kwa miaka nane.
” Nilipojifunza gari na kumaliza nikajaribu kutafuta Kazi sehemu Tofauti Lakin ndio hivyo nikawa sijapata kazi kwenye Makampuni , Watu hawaamini kama Masai anaweza kuendesha Gari wingine wanasema Wamasai wamezoea kuendesha Punda, wapi na Wapi na Gari ,Kuna Wageni wingine wakija wanasema wanataka kuingia kwenye Gari Yangu-Yohana Dereva Tax Masai wa Zanzibar ”