Picha nimepiga kutoka maenezo ya Sinza Afrikasana na sehemu za jirani, unaambiwa watu wenye magari madogo wanapata tabu sana time hii ya mvua sababu hakuna miundombinu inayoweza kumudu mvua kama hivi na kuyasafirisha maji, barabara zina mashimo ambayo gari ndogo ni rahisi kuyagonga na kuumia.
Ili usipitwe na chochote, jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata iwe usiku au mchana pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.