Tangu mwezi uanze stori inayochukua headlines kwenye upande wa Elimu kuhusu madawati, sasa leo June 10, 2016 kupitia kampuni ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imekabidhi shilingi milino 50 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwaajili ya utengenezwaji wa madawati.
‘Akizungumza mbele ya waandishi wa habari meneja Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, Innocent Mungy alisema.‘Kwa niaba ya watumishi wenzangu wa mamlaka ya mawasiliano, naomba nikukabidhi mchango wa shilingi milioni 50 kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ili kuunga mkono mfuko wa Madawati kwa mkoa wa Dar es Salaam’– Innocent Mungy
‘Fedha hizi kama nilivyosema zinazotokana na jitihada zetu za kubana matumizi, hii inaonesha kuwa maendeleo yanawezekana kwa kufanya jitihada za kuunga mkono shughuli za maendeleo kwa kujituma na kutekeleza maagizo ya viongozi wetu kwa vitendo’- Innocent Mungy
ULIIKOSA YA PAUL MAKONDA KUKUTANA NA BALOZI WA JAPAN BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE