Baada ya wimbi kupita Simanjiro kwamba Madiwani wa CHADEMA wanahamia CCM hivi karibuni, Madiwani 8 wa Chama hicho Simanjiro wakiwa na Viongozi wao wamekusanyika na kuongea kuhusu kuhama na kusema hawahami CHADEMA lakini ila wataendelea kumuunga mkono Rais Magufuli.
MKE WA KAFULILA ASEMA “MUNGU KATUNYIMA SIRI NYINGI” BONYEZA PLAY HAPA CHINI