Wiki moja imepita tangu kuripotiwa taarifa Mwanza ambayo ilimuhusisha Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Maximilian kumpiga kwa risasi na kumuua mkewe kisha naye kujiua kwa risasi pia.
Story iliyonifikia ni kuwa miili ya marehemu hao imeagwa kwa pamoja May 29, 2017 nyumbani kwao na kuzikwa kwenye Makaburi ya Mahina Mwanza na kuhudhuriwa na mamia ya Waombolezaji pamoja na Viongozi wa Serikali.
millardayo.com na AyoTV zilikuwepo na hivi ndivyo ilivyokuwa.
SAKATA LA KUIBIWA MTOTO: Waziri Ummy aunda Tume Huru kuchunguza…