Kumekuwa na taarifa zinasambaa kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) wamepiga marufuku majadiliano ya siasa kwenye Mabasi.
AyoTV na millardayo.com zimempata Kaimu Mkurugenzi udhibiti Usafiri wa barabara, Leo Ngowi kwenye huu ufafanuzi ambapo amesema “Kanuni zimekataza Mahubiri ya siasa kwenye Mabasi yani kwa maana kwamba kama Mtu ni wa Chama flani asiingie kwenye Basi aanze kushawishi abiria wampigie kura mtu flani”
Vipi Mtu akikaa siti moja na kuongelea siasa na mtu wa pembeni yake? adhabu yake kwa watakaokiuka na kufanya siasa ndani ya Mabasi hayo itakua ni nini? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMSIKILIZA ZAIDI
VIDEO: DR. SHIKA ASEMA “MIMI SIO MBABAISHAJI” AONYESHA KAMPUNI YAKE
DR. LUIS SHIKA “NILITEKWA URUSI SABABU YA KUWA NA PESA NYINGI” MTAZAME KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI