September 6 2016 mkutano wa nne wa Bunge la 11 umeanza mkoani Dodoma ambapo wabunge wa pande zote wameshiriki mkutano huo unaoendelea hivi sasa ukiongozwa na Spika wa bunge Job Ndugai ambaye alitumia nafasi hiyo kulijulisha bunge kuhusu Rais John Pombe Magufuli kuipitisha miswada mitano ya sheria iliyojadiliwa katika mkutano wa tatu wa bunge.
Lakini pia bunge limesoma muswada wa sheria ya upatikanaji wa taarifa ya mwaka 2016, mswada ambao ulisomwa na Waziri wa katiba na sheria Dk. Harisson Mwakyembe ambapo bunge limeendelea kuujadili muswada huo unaotarajiwa kumalizika kesho September 7 2016.
Video yake nimekuwekea hapa chini..
ULIMIS ALICHOKIZUNGUMZA RAIS MAGUFULI KUHUSU MAALIM SEIF KUKATAA MKONO WA RAIS SHEIN