Sports Extra day bonanza 2014 limemalizia kwenye mkoa wa Arusha na kupatikana kwa Zenith Media Ltd kuibuka washindi kwa kuwafunga chama cha makocha Mkoa wa Arusha.
Ushindi wa magoli yao ulipatikana kwa penati 4 walizopata Zenith dhidi ya 3 walizopata chama cha Makocha,bonanza hili lilianza mwaka jana na lilikua likifanyika mkoa wa Dar pekee lakini kwa mwaka huu limeongeza mikoa na kufika Mwanza,Mbeya na Arusha.