Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amewataka Wanawake pamoja na Wanaume watakaoibiwa wenza wao kutoa taarifa kwake kwa kutuma ujumbe mfupi kwa namba aliowatajia ili ashughulike nao.
Akiwa Wilayani Chunya amesema “Naacha namba yangu ya simu, tuma meseji muda wowote, niambie mimi ni Mwana Matundasi nimeibiwa Mume wangu hama Mke wako, niambie mimi nitashughulika nae”
RC MBEYA “NITUME KOMBORA LIKUFYATUE VIZURI, MTAJAZA NDOO”