Mtanzania Juma Ally amejenga nyumba katika Kijiji cha Jasini Wilayani Mkinga Mkoani Tanga katika mpaka wa Tanzania na Kenya lakini kitu cha kushangaza ana miaka zaidi ya kumi anaishi hapo ila bado hajui yeye ni raia wa nchi gani jambo lililowashangaza Manaibu Waziri wawili wa Fedha na wa Ushirikiano wa Kimataifa.
“WANAWAKE WOTE DUNIANI WANA TAMAA YA MAPENZI” MTAALAM