Leo March 12, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akizindua jukwaa la NAWEZA litakalolenga kutoa elimu ya Afya kwa wananchi hususani watu wazima amesikitishwa na kiwango cha maambukizi ya malaria kwa asilimia 11 juu ya kiwango cha Kitaifa cha asilimia 7.3 kutokana na kutofuata sahihi ya vyandarua na usafi salama wa makazi ya kuishi.
“Tunatakiwa kujibu swali watu wetu wanataka kujua nini chanzo cha malaria, ukikuta mtu anapelekwa Kitete na kule kuna wavu wa George Bush kutoka Marekani hawajifuniki wanaenda kuweka kwenye banda la bata That is the problem” RC Mwanri
RC MBEYA KAACHANA NA V8 KANASWA NDANI YA DALADALA AKIWA NA DC, MKURUGENZI