Bado masaa kadhaa kabla ya nusu fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kuchezwa katika uwanja wa Etihad Uingereza, mchezo ambao utakuwa unazihusisha klabu za Man City dhidi ya Real Madrid, mtu wangu wa nguvu hizi ni takwimu muhimu za kuzifahamu.
MECHI 5 ZA MWISHO MAN CITY KUCHEZA KABLA YA NUSU FAINALI YA LEO
- Man City 4 – 0 Stoke City 23 April 2016
- Newcastle 1 – 1 Man City 19 April 2016
- Chelsea 0 – 3 Man City 16 April 2016
- Man City 1 – 0 PSG 12 April 2016
- Man City 2 – 1 West Bromwich Albion 09 April 2016
MECHI 5 ZA MWISHO REAL MADRID KUCHEZA KABLA YA NUSU FAINALI YA LEO
- Rayo Vallecano 2 – 3 Real Madrid 23 April 2016
- Real Madrid 3 – 0 Villarreal 20 April 2016
- Getafe 1 – 5 Real Madrid 16 April 2016
- Real Madrid 3 – 0 Wolfsburg 12 April 2016
- Real Madrid 4 – 0 Eibar 09 April 2016
MAN CITY VS REAL MADRID
- Man City 1 – 4 Real Madrid 24 July 2015
- Man City 1 – 1 Real Madrid 21 Nov 2012
- Real Madrid 3 – 2 Man City 18 Sep 2012
Kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa leo April 26 2016 takwimu zinaonesha Real Madrid wanasafu imara ya ushambuliaji kuliko Man City, katika mechi zao 5 za hivi karibuni Real Madrid waamefunga jumla ya magoli 18 na kufungwa 3 wakati Man City wamefunga jumla ya goli 11 na kufungwa goli 2 pekee, Real pia wanapewa nafasi kubwa ya kuifunga Man City.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBEnza