TOP 20 ya Ikulu zinazotumia magari ya kifahari duniani, Afrika zipo nchi 2 tu, Kenya ikiwemo
Share
5 Min Read
SHARE
Mtu wangu wa nguvu najua umesikia au unaelewa jinsi gari za viongozi wa juu wa serikali hususani marais zinavyokuwa na thamani kubwa kutokana na hadhi na uhitaji wa gari zenye usalama kwao. Basi mtu wangu wa nguvu katika pitapita zangu mtandaoni nikakutana na TOP 20 ya Ikulu 20 zinazotumia magari ya kifahari. Haina maana kama wengine gari zao hazina thamani ila baadhi ya hizi nchi viongozi wao wanatajwa kuamua kutumia gari hizi. Huenda ukawa hujui Afrika kuna nchi mbili tu Kenya na Morocco ndio Ikulu zake zimetajwa katika list hii. Hii ni list kwa mujibu wa therichest.comnimeisogeza kwako kama ilivyo imeandikwa na Chriss Flynn tarehe 23/01/2016
20 – Kenya0
19 – Italia
18 – Japan
17 – Singapore
16 – Uzbekistan
15 – Morocco
14 – Korea Kusini
13 – Norway
12 – Brunei
11 – Ujerumani
10 – India
9 – Philippines
8 – Urusi
7 – Malaysia
6 – UK
5 – Thailand
4 – Vatican
3 – China
2 – USA
1 – Malkia wa Uingereza ndio anatumia gari yenye thamani kuliko zote.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwasms, pia ungana na Millard Ayokwenye Twitter,FB, Instagramna YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE