Mchekeshaji Steve Nyerere amemjibu Diwani Mstaafu wa Kibosho, Deo Mushi aliyebuka hivi karibuni akiongea na waandishi akipinga baadhi ya watu kuongelea Sakata la Bandari ambapo amedai ni sio kila mtu anaweza kuongelea huku akiwataja Steve Nyerere na Maulid Kitenge kuwa hawakupaswa kuongelea.
Play hapa chini kupata taarifa kamili.