Ni dhoruba kali iliyoleta majonzi Kaskazini mwa China ambako mpaka sasa tayari watu 26 wamefariki na wengine 10 hawajulikani walipo huku vyombo vya usalama na uokoaji vikizidi kutafuta njia ya kuepusha maafa zaidi kutokana na hali ya hewa.
Kwenye eneo la Guangdong ni watu 15 wamefariki toka Jumatano iliyopita na wengine watano hawajulikani walipo kutokana na maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha.
millardayo.com ipo tayari kukufikishia stori kama hizi na nyingine zote iwe usiku au mchana, kaa karibu yangu kwa kubonyeza >>> Twitter Instagram facebook ili kupata kila kinachonifikiwa ikiwemo pichaz, video, stori na mengine yote ya hii dunia.