Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya hapa kubwa za leo na waweza kuzipata huko.
#MWANANCHI Wakala wa ukaguzi wa madini TZ imekamata madini ya bil 3 yakitoroshwa ktk viwanja vikubwa vya ndege na ktk matukio 25 tofauti pic.twitter.com/Y5TFVHLa77
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#MWANANCHI Misaada ya tetemeko kujengea miundombinu imeendelea kupingwa, baadhi ya wananchi na wanasiasa wataka suala hilo liangaliwe upya pic.twitter.com/vcAIU07uxX
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#MWANANCHI Bodi ya mikopo imetoa siku 30 kwa wadaiwa sugu kurejesha mikopo vinginevyo watafikishwa mahakamani na majina yao kutangazwa pic.twitter.com/B3EBwfnQf1
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#MWANANCHI Shule ya sekondari Tegeta inayomilikiwa na Jumuiya ya wazazi ya CCM, inadaiwa kuuzwa kinyemela kwenda kwa chuo kikuu cha Mzumbe pic.twitter.com/65CWdsA0fo
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#MWANANCHI Jeshi la Polisi Pwani limekamata viroba 251 vya bangi na vifaa vya kumwagilia mashamba ya zao hilo haramu pic.twitter.com/NyyPIxURmO
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#MWANANCHI Waziri Mkuu mstaafu, Msuya ametaja changamoto tatu za Serikali ya awamu ya 5
1.Umaskini
2.Kuongeza kipato
3.Ajira kwa vijana pic.twitter.com/DMzh0oLkAR
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#MWANANCHI Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa magonjwa 'NIMR' umebaini wanawake 36 kati ya 1,000 hutoa mimba kila mwaka pic.twitter.com/gYfC3JNZKS
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#MWANANCHI Makamu wa Rais, Samia asafiri Dar-Mwanza na msafara wake kwa ndege ya ATCL, atumia mil 7.6 badala ya mil 40 kama angekodi ndege pic.twitter.com/6b3iDyCW5P
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#MWANANCHI Mawakili wa Lema ambaye yupo mahabusu jana walishindwa kukamilisha taratibu za kisheria za kuwasilisha maombi ya dhamana pic.twitter.com/uo4W7EaRm7
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#MWANANCHI Mahakama yamwachia huru Ndassa baada ya wakili wa serikali kueleza kuwa hawana nia ya kuendelea na kesi hiyo ya kuomba rushwa pic.twitter.com/0QgSecdnt7
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#NIPASHE Ubalozi wa Ujerumani umetoa bil 26.4 kuisadia Serikali ya Tanzania kuwahudumia wakimbizi waliopo nchini pic.twitter.com/nyo0tbRII1
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#NIPASHE Watu wanne wameongezwa ktk kesi ya mauaji ya watafiti yaliyotokea kijiji cha Iringa Mvumi Dom, washtakiwa wa kosa hilo wafikia 17 pic.twitter.com/OXygT7foLK
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#NIPASHE Waziri Muhongo amesisitiza kuwa serikali haitatoa vibali kwa viwanda nchini kununua madini ya jasi na makaa ya mawe nje ya nchi pic.twitter.com/Ruoi5sEfpo
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#MAJIRA Serikali Z'bar imesema kasi ya ongezeko la watoto wenye kisukari ni kubwa visiwani humo na kusababisha taharuki kwenye jamii pic.twitter.com/K76nxNixdb
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#MWANANCHI Polisi waliotimuliwa kazi Mbeya na kushtakiwa kwa madai ya kutaka kufanya mapenzi kwa nguvu na wanafunzi jana walipata dhamana pic.twitter.com/dRYHyhTWso
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#TanzaniaDAIMA Wakati Lema akiwa mahabusu, CHADEMA imemuongeza Tundu Lissu na Peter Kibatala katika kesi hiyo ili kuongeza nguvu ya kisheria pic.twitter.com/Fwnv5Jy1cz
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#UHURU 9.1% ya Watanzania umri wa miaka 25-64 wana ugonjwa wa kisukari na 80% ya wagonjwa wa kisukari duniani wanaishi nchi zinazoendelea pic.twitter.com/ejTGtu1Vfp
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#UHURU Manispaa ya Ilala DSM imefanikiwa kuwafanyia upasuaji wa mabusha zaidi ya wanaume 400, kuanzia October 21 hadi 30 mwaka huu pic.twitter.com/CSIgH7520m
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#MWANASPOTI Simba ina mpango wa kumsajili kipa wa African Lyon, Mcameroon Youthe Rostand ambaye amewakaribisha na kuwaambia hawatajutia pic.twitter.com/AuGu7HWZUA
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
#BINGWA Yanga wanaitaka saini ya Thomas Ulimwengu aliyeachana na TP Mazembe, lakini bado ina mtihani kutokana na timu nyingine zinazomsaka pic.twitter.com/MqNYnIpa4z
— millardayo (@millardayo) November 15, 2016
AyoTVMAGAZETI: Mfumo wa Kikwete wafumuliwa tena, Madini ya bilion 3 yakamatwa yakitoroshwa