Unajua siku hizi mitandao imekua ni sehemu kubwa ya maisha yetu kwa wale ambao tumekua tukiwafatilia Mastaa mbalimbali wa dunia kujua wanafanyaje au nini wanachokifanya kwa muda husika.
Siku chache zilizopita Kim Kardashian alipost picha akaipa maneno ya ‘The Parent Trap’ moja ya tafsiri yake ni ‘Mtego wa Mzazi’ ambapo picha hiyo inamuonyesha Kim Kardashian akiwa na mama yake pamoja na Baba yake ambaye miezu michache iliyopita tulipata stori kuwa kajibadili jinsia.
Sasa hiyo picha imepata comment nyingi sana miongoni mwa comment hizo ni pamoja na hii ambayo imeandikwa kiswahili na @iam_melkymsechu ‘Aisee Kim,Diamond kajifungua mtoto ila hana mdomo….atakua wake kweli we unavyoona?…au Zari alipiga cross @kimkardashian.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos