Shirikisho la soka Tanzania leo Jumanne ya December 11 2018 limeamua kutoa tamko kuhusiana na kilichoandikwa katika gazeti la ‘Tanzanite’ likilituhumu shirikisho hilo kutumiwa pesa kinyume na taratibu zaidi ya Tsh Milioni 300.
TFF limetoa taarifa rasmi ya kufafanua tuhuma hizo na kueleza kuwa hazina ukweli ila kuna taarifa ambazo mashauri yake yapo Mahakamani ya miaka ya nyuma, hivyo sio busara kuzizungumzia zaidi ya kuiachia Mahakama kwa sasa.
MO Dewji alivyojitokeza Taifa kwa mara ya kwanza baada ya siku 49 toka atekwe