Mwanafunzi Honest Mulokozi aliyekuwa akisoma katika Seminari ya Rubya iliyopo Parokia ya Kasambya, Jimbo Katoliki la Bukoba mkoani Kagera, amefariki dunia wakati akitoka kutazama matokeo yake ya Kidato cha Pili, maeneo ya Shule ya Optima akiwa anaendesha pikipiki baada ya kugongwa na gari la mizigo (semi).