Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimetoa taarifa hii baada ya baadhi ya mitandao na Gazeti kuandika kwenye ukurasa wa mbele kwamba Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho na Mbunge Tundu Lissu anarejea Tanzania hivi karibuni akitokea kwenye matibabu Ulaya.
Taarifa hizo za Mitandao na kwenye gazeti zilisema Tundu Lissu ameshamaliza matibabu na kwamba atarejea nyumbani Tanzania hivi karibuni, Msemaji wa CHADEMA Tumaini Makene amesema taarifa hizo sio za kweli na zimesababisha usumbufu mkubwa, msikilize zaidi kwa kubonyeza play hapa chini.
VIDEO: ATAKACHOFANYA MTOTO ANTHONY AKIPATA MSHAHARA WAKE WA KWANZA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA
JPM IRINGA: “MNIOMBEE NISIJEKUWA NA KIBURI” AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA KILOLO