Mwanamke kujifungua watoto wawili katika siku mbili tofauti.
Mwanamke wa Marekani aliye na mifuko miwili ya uzazi amejifungua mara mbili…
Traffic makao makuu yawataka madereva kutokuwa chanzo cha huzuni nchini.
Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani nchini kimesema zipo sheria zinazotoa…
Kanisa lafungwa kwa kufundisha waumini kutoenda hospitalini
Serikali mjini Naivasha imeamuru kufungwa kwa kanisa lenye utata kutokana na madai…
Watu 76 wa familia moja wameuawa katika shambulio la mji wa Gaza
Shambulizi la Israel kwenye jengo la mji wa Gaza limeua watu 76…
Morocco inaelekea kwenye mwaka wake wa 6 mfululizo wa ukame
Morocco, nchi ambayo kilimo ni sekta muhimu, inaelekea kwa mwaka wake wa…
Wapalestina waomboleza vifo huko Gaza
Kulingana na shirika la habari la Sky news zipo picha zilizopigwa huko…
‘Wapalestina 11 wasio na silaha wauawa mbele ya familia zao’ – UN
Takriban wanaume 11 wa Kipalestina wasio na silaha waliuawa mbele ya watu…
Ole Gunnar Solskjaer katika mazungumzo na klabu ya Uturuki kuhusu kazi ya meneja – ripoti
Meneja wa zamani wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anaweza kurejea kazini…
Pep Guardiola “nimefunga ukurasa ,kazi yangu Man City imekamilika, imekwisha”
Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola amesema "amefunga ukurasa" katika klabu hiyo…
Billie Eilish: Namuogopa rapa Eminem maisha yangu yote.
Eminem, rapa maarufu wa Marekani, na mtunzi wa nyimbo, amekuwa kwenye tasnia…