Iran yawanyonga 7 kwa ubakaji, mashtaka ya dawa za kulevya
Siku ya Jumatano hatimaye Iran iliwanyonga wanaume saba katika magereza mawili nje…
‘homa ya ini inaweza kuua watu wengi zaidi ifikapo 2040’ Mashirika ya afya
Mashirika ya afya yanaonya kwamba homa ya ini inaweza kuua watu wengi…
Afikishwa mahakamani mjini Paris akituhumiwa kushiriki katika mauaji ya halaiki Rwanda.
Afisa wa zamani wa polisi wa jeshi la Rwanda ambaye alikimbilia Ufaransa…
Kuzaliwa kabla ya wakati, chanzo kikuu cha vifo vya watoto chini ya miaka mitano ulimwenguni
Ripoti iliyochapishwa Mei 10 na Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya…
YouTuber atangaza nia kununua Mji Mzima wa North Carolina Kuishi
Jimmy Donaldson, anayejulikana zaidi kama MrBeast, ameingia kwenye vichwa vya habari kwa…
Sherehe za kumuaga IGP Mstaafu Balozi Simon Nyakoro Sirro,akabidhiwa gari mpya
Jeshi la Polisi Tanzania limemuaga rasmi aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi…
Zaidi ya Tsh bill.1 kulipa fidia na jela miaka 77 kwa udukuzi
Raia wa Uingereza ambaye alirejeshwa New York kutoka Uhispania mwezi uliopita amekiri…
Uturuki yaongeza mishahara ya wafanyikazi wa umma kwa 45%
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameangaza nyongeza ya asilimia 45 ya…
Lil Wayne amekiri kushirikishwa kwenye ngoma zaidi ya 100,mwaka 2007
Lil Wayne amekiri kwamba mwaka 2007 alishirikishwa kwenye ngoma zaidi ya 100,…
Twitter kuondoa akaunti ambazo hazijatumika kwa muda mrefu.
Elon Musk siku ya jana alitoka hadharani na kutangaza kwamba atapitisha fagio…