Bodi ya Nafaka yajipanga kujiendesha kibiashara “Milioni 200 zimewekwa”
BODI ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB), imesaini mkataba wa Sh.milioni 200…
Gwajima “Matatizo mengi ndoani chanzo ni uchumi, Azania mmewakomboa”
Benki ya Azania katika jitihada zake za kumkomboa Mwanamke kiuchumi, imezindua akaunti…
KENYA:Acheni kuwalisha punda bangi ili kufanya kazi kwa bidii.
Mwenyekiti wa Kikundi cha Ustawi wa Punda cha Moyale Hussein Osman amewaonya…
Muuguzi afariki akijaribu kufanya upasuaji kupunguza tumbo lake.
Moja ya habari iliyokamata headlines wiki hii ni ripoti iliyoandikwa kupitia jarida…
TIKTOK YAPIGWA FAINI YA $15.9 MIL KWAKUTUMIA TAARIFA ZA WATOTO VIBAYA.
Mdhibiti wa taarifa na data muhimu nchini Uingereza ameitoza kampuni ya TikTok…
Finland rasmi mwanachama wa muungano wa ulinzi wa NATO.
Ufini imetajwa rasmi kuwa mwanachama wa 31 wa NATO, kuashiria mabadiliko makubwa…
Donald Trump kufikishwa mahakamani jijini New York .
Aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump, anatarajiwa kufika Mahakamani jijini New York…
Tunisia: Rais Saied akanusha taarifa kuwa hali yake ya kiafya imedhoofika.
Rais wa Tunisia, Kais Saied amejitokeza na kukanusha madai kuwa hali yake…
EXCLUSIVE: Msanii Bando kafunguka, hana Dini, alilelewa miezi 6, ampoteza Baba
Ni msanii wa rap Bando MC ambaye hivi karibuni kaja na wimbo…
Kinyozi mahakamani kwa kujifanya polisi,kuingia kwenye tamasha kumuona Megan Thee.
Mwanaume mmoja huko Houston Texas ameshtakiwa kwa kujifanya afisa wa polisi ili…