Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amesema Askari Polisi mmoja ameuwawa jana na kundi la Wananchi Loliondo kwenye zoezi la uwekaji mipaka ya pori tengefu.
RC Mongella amenukuliwa akisema “Askari huyu alifariki kwa kupigwa mshale na Kundi hilo, mpaka sasa Hospitali zote hatuna Majeruhi ingawa kwenye mitandao tunaona kuna picha zinatolewa”