Matajiri wa dunia wakitajwa utasikia majina kama Bill Gates, Rockefeller au Buffet lakini alikuwepo Mansa Musa Mfalme wa Mali, karne ya 14.
Mansa Musa anatajwa kuwa tajiri mkubwa kuwahi kutokea, leo angekuwepo thamani ya utajiri wake ingekuwa sawa na USD Bilioni 400, mfahamu Mansa Mussa kwa ufupi kwa kubonyeza PLAY hapa chini.